Tandale waomba ujenzi wa soko kuharakishwa

Picha ya soko la Tandale

Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la Tandale wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa soko hilo ili kuondokana na ufinyu wa nafasi na adha ya mafuriko pindi mvua zinaponyesha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS