Okwi atapona kabla ya kuwavaa Waarabu ? Baada ya jana kuumia na kushindwa kuendelea na mchezo, mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi anaendelea vizuri na atarudi dimbani mapema kutokana na matibabu anayopata. Read more about Okwi atapona kabla ya kuwavaa Waarabu ?