Freeman Mbowe amtuhumu Jaji Mtungi
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe amefunguka na kudai Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mtungi ndio mtu pekee anayeharibu na kuvuruga vyama siasa kuliko kiongozi mwingine yeyote yule aliyewahi kutokea.

