Kesi ya Wabunge wa CHADEMA kuanza kusikilizwa

Kesi ya jinai inayowakabili wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Suzan Kiwanga (Mlimba), Peter Lijualikali (Kilombero) na watuhumiwa wengine 54 imepangwa kuanza kusikilizwa kwa mara ya kwanza Machi 28 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS