Conte atoa siku tatu Baada ya kupata kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Watford kocha wa Chelsea Antonio Conte amewapa wachezaji wake siku tatu za kupumzika kabla ya kurejea kwenye maandalizi ya mchezo wao ujao. Read more about Conte atoa siku tatu