Mshambuliaji wa Man City kuisubiri UEFA

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameweka wazi kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Brazil Gabriel Jesus atakuwa nje kwa wiki sita na huenda akarejea kwenye mechi za UEFA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS