NEC yatangaza tarehe ya uchaguzi mwingine
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC) imesema uchaguzi mdogo katika majimbo ya Siha - Kilimanjaro, Kinondoni mkoani Dar es Salaam na Kata nne za Tanzania Bara utafanyika Feb 17, 2018 kufutia waliokuwa wabunge katika majimbo hayo kujivua uanachama.