Sugu aitwa Polisi, ahojiwa Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi (Sugu) pamoja na Katibu wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga, wameachiwa huru baada ya kuhojiwa kwa saa kadhaa katika Makao Makuu ya Polisi Mbeya. Read more about Sugu aitwa Polisi, ahojiwa