TFF kushirikiana na TAKUKURU

Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF)  Wallace Karia ameweka wazi kuwa wanashirikiana na TAKUKURU kushughulikia vitendo vya hujuma, uonevu na upendeleo uliojitokeza kwenye mechi mbili za ligi daraja la kwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS