Majaliwa awataka vijana kuchangamkia korosho Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka vijana kuchangamkia kilimo cha korosho zao ambalo kwa sasa lina fursa nyingi. Read more about Majaliwa awataka vijana kuchangamkia korosho