"Kupigwa risasi Tundu Lissu kulinigharimu "- Zitto Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ameuzungumzia mwaka 2017 huku akiukaribisha mwaka mpya, kwa kusema kuwa tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu lilimgharimu sana. Read more about "Kupigwa risasi Tundu Lissu kulinigharimu "- Zitto