Asante Kwasi awafunika washambuliaji

Mlinzi mpya wa Simba raia wa Ghana Asante Kwasi jana amefanikiwa kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza na klabu yake hiyo mpya kwenye michuano ya Mapinduzi na kuwazidi mabao baadhi ya washambuliaji msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS