Mwakyembe azigeukia Bongo movies Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameyataka mashirikisho ya Sanaa na Filamu kusimamia ubora wa kazi za sanaa ili kukidhi mahitaji ya walaji. Read more about Mwakyembe azigeukia Bongo movies