Meneja TRA asimamishwa kazi

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) amemsimamisha kazi Meneja wa TRA Mkoa wa Mara Nicodemus Mwakilembe kutokana na uzembe wa kutosimamia vizuri matumizi ya Mashine za Kielektroniki za kutolea risiti (EFDs) kwa wafanyabiashara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS