Aliyetuhumiwa kwa rushwa CCM apewa dhamana
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis anayekabiliwa na shtaka la rushwa ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma na kuoewa masharti ya kutotoka nje ya Tanzania bila kibali cha mahakama.