Wananchi wawatumbua viongozi Wananchi wa kijiji cha Msosa kilichopo Kata na Tarafa ya Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo mkoani Iringa wameiondoa kamati ya Mipango na Fedha kwa tuhuma za kufanya ubadhilifu wa mali za kijiji. Read more about Wananchi wawatumbua viongozi