TAKUKURU yafunguka kuhusu Nehemia Mchechu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imekanusha taarifa zilizosambaa mtandaoni kuwa wanamshikilia aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Nehemia Mchechu. Read more about TAKUKURU yafunguka kuhusu Nehemia Mchechu