TFF yatoa msimamo wake juu ya Nyosso

Baada ya mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kuendelea kushikiliwa na Polisi mpaka hivi sasa huko mkoani Kagera Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema linasubiri ripoti ya Kamishna wa mchezo huo ili waweze kumchukulia hatua za kinidhamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS