Sprite BBALL KINGS yatingisha Dar
Michuano ya mpira wa kikapu ya 'Sprite BBALL KINGS' iliyorindima leo kwenye viwanja vya JK Park, jijini Dar es salaam imeacha gumzo kwa wapenzi wa mchezo huo waliojitokeza na kusema hawajawahi kuona mashindano yenye upinzani mkali kama hayo.

