Babu wa nembo aagwa leo Jeneza lilibeba mwili wa Mzee Francis Kanyasu Mwili wa marehemu Mzee Francis Maige Kanyasu umeagwa leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kusafirishwa na serikali kwenda kijijini kwao Igokero wilayani Misungwi jijini Mwanza. Read more about Babu wa nembo aagwa leo