Utata waibuka kumuaga Ndesamburo Mbunge wa Arusha mjini. Mh. Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Jonathan Lema amedai Vyombo vya usalama vimezuia kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Moshi mjini Mh. Philemon Ndesamburo kwenye uwanja wa Mashujaa. Read more about Utata waibuka kumuaga Ndesamburo