Mghwira amrithi Meck Sadick Aliyekuwa Mgombea urais 2015 kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo Bi Anna Elisha Mghwira ameteuliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Read more about Mghwira amrithi Meck Sadick