Kocha wa Twiga Stars, Sebastaian Nkoma akizungumza na waandishi
Wachezaji 31 wa timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' wataingia kambini Juni 7, kwa ajili ya kujiaandaa na michezo miwili ya kirafiki dhidi ya timu za wanawake za Dubai na nyingine kutoka nchini Kenya.