Porojo za Dodoma haziniumizi - Mdee
Baada ya kupatiwa adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge vilivyobakia Mbunge wa Kawe Mh. Halima James Mdee ameibua mapya na kusema porojo za Dodoma hazimuumizi kichwa na badala yake anaangalia zaidi suala la kumsindikiza Muasisi wa chama.

