Matukio ya utekaji yanashughulikiwa - Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa amewataka watanzania kuwa watulivu na kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili waweze kubaini wahusika wa matukio ya uhalifu yanayotokea nchini ikiwemo utekaji na kutoweka kwa baadhi ya watu akiwemo Ben Sanane.