Msami alia kukosa ushirikiano
Nyota wa muziki wa bongo fleva Msami anayehit na ngoma ya 'So Fine' amefunguka kwa kudai kuwa ubinafsi na kukosa ushirikiano miongoni mwa wasanii ni moja kati ya sababu zinazowafanya ya wasanii wa muziki kushindwa kufanya vizuri kimataifa

