Simba yaivaa Yanga sakata ya pointi 3

Mkuu wa kitengo cha Habari Simba SC, Haji Manara amefunguka na kuwataka wapinzani wao wa jadi kuhangaika na mambo yao ya msingi ikiwepo kutafuta mishahara ya wachezaji wao pamoja na kurekebisha uwanja wao wa mazoezi badala ya kuingilia yasiyowahusu. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS