Kamati ya pili ya mchanga yapangiwa majukumu

Rais Magufuli akisalimiana na Gabriel Pascal Malata na wana-Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 11, 2017

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Aprili, 2017 amewaapisha wajumbe wa Kamati Maalum ya pili ya wachumi na wanasheria itakayochunguza mchanga wenye madini ulio katika makontena yaliyopo maeneo mbalimbali nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS