Kipigo chamchanganya Arsene Wenger Wenger Arsene Wenger amesema mustakabali wake ndani ya klabu ya Arsenal, hakuwaathiri wachezaji lakini amekiri kuwa kichapo cha 3-0 kutoka Crystal Palace ni "wasi wasi mkubwa". Read more about Kipigo chamchanganya Arsene Wenger