Pinda kuigawa wilaya ya Chunya kabla ya Oktoba 30 Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda ameahidi kuigawa wilaya ya Chunya ili kupata wilaya mbili kabla ya uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Read more about Pinda kuigawa wilaya ya Chunya kabla ya Oktoba 30