Mama Salma aikabidhi JWTZ mashine ya saratani Wanawake nchini Tanzania wametakiwa kutopuuzia mabadiliko yasiyo ya kawaida kwenye mfumo wao wa uzazi kwani zinaweza kuwa dalili za ugonjwa hatari wa saratani ya shingo ya kizazi. Read more about Mama Salma aikabidhi JWTZ mashine ya saratani