Geita waandamana kupinga ukatili dhidi ya Albino Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwasa Wananchi mkoa wa Geita leo wamefanya matembezi ya amani kupinga mauaji ya kikatili yanayofanywa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi. Read more about Geita waandamana kupinga ukatili dhidi ya Albino