Hisia katika 'jukwaa' la kimataifa Hisia Msanii wa muziki Hisia amepata shavu la kuutangaza muziki wake na Tanzania kwa ujumla, akiwa star wa kwanza kutoka Tanzania kupata shavu la kuwafikia mashabiki kwa sanaa yake kupitia mtandao wa Yahoo. Read more about Hisia katika 'jukwaa' la kimataifa