Mnyama arejesha heshima msimbazi

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imefanikiwa kurejesha heshima na kutuliza nyoyo za mashabiki wake baada ya kuitungua Tanzania Prisons jumla ya mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa katika dimba la taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS