Hospitali ya Rufaa ya wagonjwa wa akili ya Mirembe, mkoani Dodoma.
Wagonjwa wa akili katika Hospitali ya Mirembe iliyoko mkoani Dodoma wametoroka katika wodi zao baada ya kutokea mgomo wa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Mass inayolinda hospitalini hapo.