Jumanne , 28th Dec , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba serikali yake itendelea kukopa kwa lengo la kumaliza na kuikamilisha miradi yoite ya maendeleo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Kauli hiyo ameitoa hii leo Desemba 28, 2021, jijini Dar es Salaam, mara baada ya kushuhudia hafla ya utiaji saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) awamu ya tatu kipande cha Makutupora hadi Tabora.

Tazama video hapa chini