Jumatatu , 25th Oct , 2021

Msanii wa kwanza wa lebo ya Next Level Music ya Rayvanny, Mac Voice anasema kila mtu ananyota yake hivyo hafanyi muziki kwa ajili ya kushindana wasanii wa lebo zingine kama Tommy Flavour wa Kings Music Records au Ibraah wa Konde Gang.

Picha ya msanii Mac Voice

Mac Voice ameongeza kusema wasanii wote wamejaliwa vipaji na kila mtu atafanya kwa uwezo wake na kila mbuzi atakula kutokana na urefu wa kamba yake.

Zaidi tazama hapa kwenye video.