Jumatatu , 3rd Oct , 2022

Msanii Q Chief amefunguka kusema TID ni mshawishi mbaya (Bad Influencer) kwa sababu hata ukiingia kwenye gari lake unakuwa mzima lakini ukitoka unakuwa sio kijana kama uliyeingia.

Picha ya msanii Q Chief

Q Chief amesema hayo akizungumzia kuhusu bifu lake na TID kwa kusema hajui kwanini anamundama au labda kutokana na kipaji chake cha kuimba mziki.

Ikumbukwe wawili hao walikuwa wanaunda kundi moja la Top Band miaka kadhaa iliyopita.