Alhamisi , 2nd Jun , 2022

Rapa wa Majengo Sokoni Music Moni Centrozone 'Malume' amefunguka 'Issue' ya stress kupitia mashabiki wa mtandao wa kijamii wa Instagram.

Picha ya msanii Moni Centrozone

Kupitia Instagram yake Moni ameandika kwamba "Kuna kipindi watu wa Instagram walitaka kunitoa roho kwa stress, kama unavyojua hapa Jijini usipojitetea kwa kipaji na kuonesha uwezo wako nobody care"

"Kifupi Dar es Salaam inabidi uwe na kitu ili ndo uwe mtu la sivyo utarudi kwenu Kimbiji na hakuna kitu utafanya".