Jumatatu , 3rd Jan , 2022

Nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry amevunja rekodi ya kuwa mchezaji pekee kwenye historia ya NBA kufunga alama tatu kwa mkupuo ‘3-Pointers’ kwenye michezo mingi mfululizo, michezo 158.

(Stephen Curry wa Golden State Warriors)

Curry amevunja rekodi hiyo alfajiri ya Januari 2,2022 wakati timu yake ilipokuwa inacheza dhidi ya Utah Jazz na kuisaidia ipate ushindi wa alama 123-116. Mbali na 'Tripplr Double

Rekodi hiyo mwanzoni ilikuwa inashikiliwa na Curry mwenyewe ambaye alifunga 3-pointers 157 tokea mwaka 2016.