
Kulia Usher Raymond kwenye picha, kushoto mwanamuziki Lady Jaydee.
Kupitia katika mtandao wa Twitter mwanadada huyo alieleza namna ambavyo ndoto inaweza kutimia kwa Usher Raymond kutokea katika tamasha lake hilo.
"Mara paap! Usher Raymond huyu hapa #VocalsNight2019 . Nimejisemea tu . Dreams do come true thou . Haya ninangeni, nimeshajihami" - ameandika Jide.
Hata hivyo baada ya ujumbe huo Mwanamuziki huyo hakuachwa salama na wafuasi wa mtandao wa Twitter ambao walidiliki kukumbusha ahadi ya msaani wa Hip hop aliyedai kufanya kollabo na Tupac.
"Hahaha dada hizo ni ndoto za mchana kweupe hazina tofauti Na kaka yetu aliesema kashaimba wimbo na Tupac Shakur. Hivi karibuni utasikika" Mathias Wambua.
Sehemu ya majibizano kati ya Jide na mashabiki.