Kijani mwenzako ndiye atakayekusumbua - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba mara baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata kumpa hongera na mpole huku akimsisitiza kwamba mtu wa kwanza kumpinga atatoka ndani ya chama chake na sio mpinzani.