H Baba ataka kumuoa Zuchu 

Picha ya H Baba kulia kushoto ni Zuchu

H Baba ameweka wazi ombi lake la kutaka kumuoa msanii wa WCB Official Zuchu pia yupo tayari kulipia mahari na kutuma wazazi wake waende wakaongee na wazazi wa Zuchu Zanzibar.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS