Fainali ya UEFA kuondolewa St.Petersburg Urusi

( Aleksander Ceferin Rais wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA)

Rais wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA Aleksander Ceferin ameitisha mkutano wa dharura wa kamati ya utendaji wa shirikisho hilo kutokana na hali ya machafuko ya kivita inayoendelea nchini Ukraine Baada ya Urusi kuvamia nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS