Shoka alilotaka kumpigia mke wake laua mtoto

Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera, Wankyo Nyigesa

Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera, linamshikilia mwanaume aitwaye Anderson Clemence (35), mkazi wa kijiji cha Kafunjo, Kata ya Kamagambo wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Hansen Anderson, mwenye umri wa miezi minne kwa shoka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS