"East Africa msanii ni Diamond" - Eric Omond Picha ya Eric Omondi na Diamond Platnumz Kutoka 254 Kenya mchekeshaji Eric Omondi anasema kwa Afrika Mashariki Diamond Platnumz ndio msanii anayemtambua na anastahili kupewa sifa hizo. Read more about "East Africa msanii ni Diamond" - Eric Omond