Simba yaachana na Hitimana, Lwanga bado yupo sana
Simba SC, wamethibitisha kumeachana na Kocha Msaidizi Thierry Hitimana aliyejiunga na Lunyasi, mwanzoni mwa msimu huu kama kocha msaidizi wa Didier Gomes Da Rosa aliyefutwa kazi baada ya kushindwa kuifikisha timu hiyo kwenye hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika.