Hapa Rayvanny pale Marioo, wakutana studio usiku Picha ya Rayvanny kushoto, kulia ni Marioo Ni headlines za CEO wa lebo ya Next Level Music Rayvanny, ambaye ameshea video clip akiwa na Hitmaker wa 'Bia tamu' Marioo wakiwa studio na producer S2Kizzy. Read more about Hapa Rayvanny pale Marioo, wakutana studio usiku