Wachezaji wa Liverpool wakishangilia moja ya goli jana kwenye mchezo dhidi ya Newcastle
Klabu ya Liverpool imekuwa timu ya kwanza kushinda michezo 2000 kwenye Ligi kuu England baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Newcastle United jana usiku.