Rekodi zinaibeba Yanga SC, mbele ya Mtibwa Sugar
Ligi kuu soka Tanzania bara NBC Premier League raundi ya 15 inahitimishwa leo kwa mchezo mmoja, Mtibwa Sugar watakuwa wenyeji wa Yanga SC katika uwanja wa Manungu Complex Turiani mkoani Morogoro. Mchezo huu unachezwa Saa 10:00 Jioni.

